Ukristo nchini Tanzania

Kanisa kuu la Kikatoliki la Mt. Yosefu, Zanzibar.
Kanisa la Kilutheri la Azania Front, Dar es Salaam.


Ukristo nchini Tanzania ni mojawapo kati ya dini kubwa zaidi, zikifuatwa na wakazi wasiopungua milioni 20.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne